Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,016
No reforms no ELECTION 😊Wale watoto ni hatari bhn, kwa kweli nikiona dera akili inaruka hata kama sio mzuri sana.
Kuna ile staili ya kulibana upande mmoja, ama ile ya kulibana kwenye kwapa, sasa hizo zote tisa kumi ni ile ya kulibana pande zote. Basi huwa navurugwa hadi nasahau kama sikuletwa duniani kwa ajili ya ngono. Wanaovaa sarawili na vitopu wananikera tu! Hakuna mdada anaevaa dera asipendeze hata kama hana Nyash. Kiukweli dera linanipaga vibe. Wadada mnaovaaga madera namuomba mungu awaandalie mahali penu peponi na huko awaruhusu kuendelea kuvaa madera. Hawa wa suruali na vitopu wachomwe moto wapuuzi.
NB: kama ukitaka mada za seriously nitag kule kwenye jukwaa la uchumi.
Duh, tunazungumzia madera kaka NRNE si mchana au,?No reforms no ELECTION 😊
Kabisa iingie kule 😂Bro Na hii iongezwe kwenye teenagers forum.. Evelyn Salt
NakaziaKabisa iingie kule 😂
Tupunguze kuwakera wazee
😂😂😂Hao ndio @dr mariposa aliwaona Dodoma.
Picha iko wapi?Wale watoto ni hatari bhn, kwa kweli nikiona dera akili inaruka hata kama sio mzuri sana.
Kuna ile staili ya kulibana upande mmoja, ama ile ya kulibana kwenye kwapa, sasa hizo zote tisa kumi ni ile ya kulibana pande zote. Basi huwa navurugwa hadi nasahau kama sikuletwa duniani kwa ajili ya ngono. Wanaovaa sarawili na vitopu wananikera tu! Hakuna mdada anaevaa dera asipendeze hata kama hana Nyash. Kiukweli dera linanipaga vibe. Wadada mnaovaaga madera namuomba mungu awaandalie mahali penu peponi na huko awaruhusu kuendelea kuvaa madera. Hawa wa suruali na vitopu wachomwe moto wapuuzi.
NB: kama ukitaka mada za seriously nitag kule kwenye jukwaa la uchumi.
Madam hata sio teenagers mtoa mada yupo sahihi tu ila usahihi wake unachangiwa na upwiru kama tulivyo wote tu🤔Bro Na hii iongezwe kwenye teenagers forum.. Evelyn Salt
Cha msingi uwe churamnatuchanganyaaa sasa tuvae nini aseeeeee
No reforms no ELECTION 😊