The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani!Hapo hukuwa unakufa ulikuwa uzembe wako tu. Vipi ushuzy hukukutoka?.
Mantiki yako ni ipi sasa?. Maana nilitoa mfano wa wanaokata roho pasipo kulia wala kupiga mayowe wewe unaleta zako za kukabwa na msosi wapi na wapi?. Hivi kuna watu wanaopanga kutoa roho zao?. Kweli kenge huwa hasikii mpaka damu zimtoke masikioni.Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani!
Mantiki ya mimi kutoa huo mfano sio kwamba ndio kusema nilikaribia kufa,nilichomaanisha tatizo la utokaji wa pumzi ambalo hujalipanga,linaweza kukufanya ufanye au useme lolote,wewe endelea na hizo akili za kipunguani tu.
Nimecheka sana hiyo ya piliInawezekana kweli mama yake yuko hai ndio maana anamuita,hata hivyo haikustahili kucheka,yawezekana pia vyenyewe hivyo vibinti ni vishirikina vimemuua huyo bibi.
Kuna kitu gani cha kuchekesha sasa hapo mkuu?Nimecheka sana hiyo ya pili
Kama hujakiona basi huhusiki, unataka mimi nikicheka na wewe ucheke mkuu?Kuna kitu gani cha kuchekesha sasa hapo mkuu?
Kuna muda mwengine kuna baadhi ya vitu vinachekesha hasa pale unapovuta picha ya kile unachokiona, mfano hapo alikuwa akilia mayooooooo!! mayoooo!! Nafwaaaaa! alafu usikute sura yake imekaa kicomedy comed.
Kama hujakiona basi huhusiki, unataka mimi nikicheka na wewe ucheke mkuu?
Aah Mitchell!..... una mgongo mzuri balaa!Binafsi imeniuma sana sio kitendo cha kawaida, kweli binadamu tunatofautiana sana labda wao hawatakufa
Aah Mitchell!..... una mgongo mzuri balaa!
mmmmmh!!!!Kwa tabia na imani za kishirikina zilizo tamalaki kanda ya ziwa, sinto shangaa kwa mabinti hao kufurahia bibi huyo akikata roho.
Siajabu walikua wakifurahia kwa kigezo cha kwamba bibi alikua mchawi.
Aah Mitchell!..... una mgongo mzuri balaa!
hahahahaha haya bwana nimekuelewa mkuu
keyboard yako, inakata kata maneno na kuyabadilisha.Nakumbuka miaka ya 90 hospitality moja lands ya ziwa walikua wanarukusu ndugu kalala wodini Na mgojwa isee hiyo ward ilikua inatisha usiku paka wengi kelele mtindo mmoja watu walikua wanavuta kwa Siku hata watu hiyo mbilinge take hatari had mgojwa akaompa poo baada ya kupata nafuu MTU kakonda huko flat sawa Na kitanda anaongea using kucha
hayahuu ni umbea