W WAGAGAGIGIGOGO Member Joined Mar 28, 2016 Posts 30 Reaction score 52 May 25, 2016 #1 Hivi ni msanii gani wa kike Bongo movie ana movie zake zinauza sana? Kila siku nasikia wanajiita bongo muvie lakini sioni wakitoa hizo movie..... Zaidi ya kusikia huyu kampata yule na yule kaachwa na yule....
Hivi ni msanii gani wa kike Bongo movie ana movie zake zinauza sana? Kila siku nasikia wanajiita bongo muvie lakini sioni wakitoa hizo movie..... Zaidi ya kusikia huyu kampata yule na yule kaachwa na yule....
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,940 Reaction score 49,924 May 25, 2016 #2 ndio hizo hizo unao sikia za kuachana kutoka na huyu mimba feki n.k
KANDA MBILI Member Joined Jul 9, 2012 Posts 60 Reaction score 57 May 25, 2016 #3 Bongo Movie hata maisha yao ni Muvi tu....
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,923 May 25, 2016 #4 Mambo yao super hao wameshatoka kimaisha Wako vizuri sana
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 May 25, 2016 #5 [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hivi bado wapo kwenye tasnia
PACHOTO JF-Expert Member Joined Dec 30, 2011 Posts 1,321 Reaction score 974 May 25, 2016 #6 Kuna movie mpya imetoka starling ni harmonise na co starling ni wolper
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,873 Reaction score 29,048 May 25, 2016 #7 Wadada wa bongo movie Nyama buchani unaikata na kujipimia
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 May 25, 2016 #8 wanamiliki asset kama magari[emoji12] [emoji12]
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,923 May 25, 2016 #9 Soon watafuata nyayo za Lupita Nyongo