Wadada ujumbe uwafikie popote pale mlipo

Ndio maana na sisi tunawaletea mpaka wakae kwenye mstari......
Kudadeki zao......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mpaka papuchi feki....
Ndio maana hazina ladha...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
karatasi fake na pen fake....ngoma droo...hawachewi kusema ohooo pen za siku hizi haziandiki vizuri...!? sasa waungwana wanajiuliza zitaandikaje vizuri wakati karatasi zinazoandikwa nyingi ni fake?
 
Ujumbe umewafikia... Sometime haya machemical ndio hupote za radha ya papuchi mpaka mbhoo inakosa msisimko....
Hebu Mamndenyi uje uwape somo hawa
 
Last edited by a moderator:
unaweza kutanana na aliye feki mwili mzima kichwani ana kipara chogo mundu na komwe kavaa wigi,usoni kachonga nyusi kazichorea lami,kavaa kope bandia kazipaka mirangi rangi,katoboa sikio matundu kama net,pua imetobolewa,ulimi na mdomo pia ajivishe machumaa anapaka marangi rangi utafikir zombi mnywa damu,anamalizia kwa kupaka lipbam na lipstick juu,foundation lotion cream inakua ka mask usoni,shingoni cheni ukishuka kidogo maziwa kapiga jek,kitovuni na kunako ikulu kaweka kidani,mabegan mgongoni na mapajani kachora tattoo,mguuni kavaa vikuku na kucha bandia,tukimalizia mkononi kucha bandia bangili na mipete ya ajabu ajabu kila kidole kukamilisha ujini wake mwanaume akikutana nae akivitoa vyote unabaki ka mzimu ulofufuka wenye kiu na damu,kuna urembo ila msizidi bhana fake hadi mnakera nani akupende utaishia kutamaniwa ukachezewa na kuachwa huku ukilaumu wanaume,at least be really
 
Asante aseee ila karibia nashawishika !!!! Naomba mungu aniepushe
 
.....mi nilihoji kuhusu hili wakasema eti mjini makeups natural iachie misitu, nikachoka ....
 
Hata wanaume nao nasikia siku hizi ni fake mpaka waboost bila hivyo mtalala kama dada na kaka,je ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…