Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
Zamani mtu alikuwa analia maana anaiacha familia yake anayoipenda na anakoenda hakujui sawasawa....sasa siku hizi mtu mmeshaishi miaka mitatu mmepika na kupakua....mama mkwe na mawifi unawajua mpaka chumbani coz pale kwa wakwe ulipafanya kama kwako tu....ulie kwa lipi
Sasa alie nini
Kwani kuolewa ni kufa????
Ukiona analia ujue anajua mumewe kimeo hivyo anatafakari maisha yatakavyomsulubu
Sasa alie nini
Kwani kuolewa ni kufa????
Ukiona analia ujue anajua mumewe kimeo hivyo anatafakari maisha yatakavyomsulubu
Kulia kuna sababu zake, sio mtu analia kwa vile kaamua tu au kuiga wengine. Kulia unawapa watu hofu hata mumeo maana inaonesha umeingia kwa kulazimika hujafurahia.
Pia kulia unaharibu picha so hata kama inakulazimu ila unajitahidi kujifariji mwenyewe hiyo siku ipite kwa furaha.
mbona zamani walikua wanalia, kwahiyo waume wa zamani walikua kimeo!?? au mabibi harusi wa sikuhizi ndo vimeo thats why hawalii
Kuna rafiki kuanzia kitchenparty, sendoff hadi harusi ilikua ni kulia tu.
Walizaliwa 6, akafa mama yao, ndugu zake watatu, akafuatia baba yao na siku chache tu baada ya kutolewa mahari, familia zimeshaanza maandalizi akafa kaka yake kwa ajali. Wakabaki biharusi na mdogoake tu.
Sasa kwa mazingira hayo huwezi hata kujiuliza bibiharusi analia nini maana kile kilio kilikua cha kuambukizana na mdogoake na mamamdogo hiyo siku ya sendoff.
Zamani mtu alikuwa analia maana anaiacha familia yake anayoipenda na anakoenda hakujui sawasawa....sasa siku hizi mtu mmeshaishi miaka mitatu mmepika na kupakua....mama mkwe na mawifi unawajua mpaka chumbani coz pale kwa wakwe ulipafanya kama kwako tu....ulie kwa lipi
Afu zamani kulikua na bikira, ke akivuta picha ya maumivu pale anajichomeka kidole kwa kujiswafi afu akilifikia dushe. mwee!
Sasa ivi mtu akiolewa anabonge la vongo! Yaani anawazia kuloeka dushe tu! teh teh teh! Chezea shake before use weyee.