Wadada tunaokuta viwanja sasa mtuache

Amelionaje tumbo,siku hizi watu wanakunywa pombe vifua wazi?
 
mbona hii namba haipatikani?
 
Mbona haipatikani mkuu nilitaka na mimi nikaanike tumbo kama hatolipenda hela ihusike.
 
namba za mwendokasi hizo na huo mtandao sijui anamaanisha
 
Huyo NIFA ana mwandiko wa kiume. Nina imani wakora walivyoona hiyo namba iko xposed hapa waliipiga,wakasikia Nifa kapokea in Le mutus voice.
 
Duhhhhh, hi Sayari ya Nubiru kwa nini isiongeze kasi tuu jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…