Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Umeelewa nilichoandika lakini?mpitie ukiwa kama ulivyozaliwa, utaona tu yatakwisha, ni upepo tu, chejea papuchi
Kuongea tu...lkn kwanza unamchunia kama masaa24
Fafanua kivipi rafiki?a real man will accept his wrong doibg if the wife approaches him wit respect
Kuongea tu...lkn kwanza unamchunia kama masaa24
Umejaaliwa moyo shupavu sana mpendwa,mungu akubariki uendelee hivohivo,inamaana wewe rafiki hata ukerwe vipi unasamehe na kuendelea na maisha😕 laiti wanaadamu wote tungekuwa hivo,dunia hii ingekuwa pepo kwa kweli!!I pray nipate nguvu ya kusamehe na kupuuzia maudhi/kero na kuendelea na mambo yangu kama vile hamna kilichotokea. Maisha ni mafupi Georgousmimi kubeba kero na kuhifadhi hasira/kinyongo. Yawezekana ndivyo alivyo, kwahiyo ni vizuri kuichukulia kama udhaifu wake huku ukimwombea na kumvumilia tu kwa upendo. Naamini upendo pekee ndio unaoweza kubadilisha hali yoyote
Umejaaliwa moyo shupavu sana mpendwa,mungu akubariki uendelee hivohivo,inamaana wewe rafiki hata ukerwe vipi unasamehe na kuendelea na maisha😕 laiti wanaadamu wote tungekuwa hivo,dunia hii ingekuwa pepo kwa kweli!!
Mi kwakweli nikiwa na hasira huwa siwezi kuongea, huwa nauchuna tu...
akinikera namwandikia msg hata kama nipo nae hapo hapo namweleza alivonikera
it depend na mood yake kuna muda anasema sorry kuna muda anajidai kidume
whatever response yake itakavokuwa mi najisikia amani kwa kuwa nshasema yangu
naamini anajifanya kidume machoni tu ila moyoni kakiri
kifuatacho na act kama mwanamke natafta tu namna tugegedane na huo ndo unakuwa mwisho wa kesi.....

Kumbe na wewe ni mdada!!