Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,482
- 40,495
Uchumi huwa unayumba sanaUmedhalilisha neno smart,, hizo sifa sio za mwanamke smart ila Ni sistaduu ama slay queens
Binafsi naamini kua mwanamke anayejitambua hanaga gharamaUmedhalilisha neno smart,, hizo sifa sio za mwanamke smart ila Ni sistaduu ama slay queens
Hasaaa hizo sifa ni za ma slay queen...a.k.a.wadangajiUmedhalilisha neno smart,, hizo sifa sio za mwanamke smart ila Ni sistaduu ama slay queens
Wanasema kama umempendea muonekano wake, itakubidi kuendelea kugharamia uzuri wakemapenzi ya kweli yanapunguza gharama ila ya biashara ndio utaelewa maana ya x
unayataka mwenyeweUchumi huwa unayumba sana
Tafuta wa size yako mbona simple tu, wewe mtu mmetongozana Insta baada ya kufuatilia picha zake kila siku kwa mwezi mzima na kila siku picha mpya na nguo mpya, sasa wewe ukijiingiza hapo unataka kumlilia nani?Wadada smart tunawapenda sana, na tunathibisha mna utamu wa kipekee; popote pale pongezi ziwafikie.
Changamoto kubwa mliyonayo; mnatutesa sana sisi wanaume; hela haikai, muda wote tunapokuwa na nyie, pesa huwa inateketea sana.
Mara wigi laki sita, hujakaa sawa nataka niende saluni kusafisha kucha, mara nimeona kisuruale pale, mara ile raba nimeipenda, mara nataka nikabadilishe mtindo wa nywele n.k
Kwa mazingira hayo; nyie hamfai kuolewa, tutakuwa tunawapa kampani ya kupelekeana moto tu
Huku field ndio kuko hivyo mkuu, na wanachagua saluni ya kwendaHasaaa hizo sifa ni za ma slay queen...a.k.a.wadangaji
Smart hatuombi ombi hela kizembe. .zembe....
Yani kusafisha kucha niombe hela...usafi wangu mweenyewe???
Ndio ndio, hawanaga gharama ila ndo wana nata hatari km hawanyi vile😎😎Binafsi naamini kua mwanamke anayejitambua hanaga gharama
Labda wa smart kimuonekano tu.
Ila beauty with brains hawanaga hizo.
Tatizo mnatufanya tunakuwa masikiniKila mbuzi ale usawa wa kamba yake...
Mwanaume mwenyewe wa siku hizi ukijigeuza kikoba kila siku mahitaji mapya anakukimbia kweupeeee
Yani wanaume wa siku hizi wanapenda upendeze kwa gharama zako yeye akija anafaidi utamu tuu asiojua umependezaje...
Bora nibaki na utamu wangu asee
Raha ya mwanaume uhudumie mwanamke wako apendeze hata akiwa ametangulia unajiskia ufaharii
Mkuu tunapenda vitu vizuri, vinavutia sanaunayataka mwenyewe
Jamaa kachanganya wadangaji na smart ladies,, mizinga yenu sio mingi na sio ya aina hiyo eti kusafisha kucha, mnajiamini na kujipenda pia,Hasaaa hizo sifa ni za ma slay queen...a.k.a.wadangaji
Smart hatuombi ombi hela kizembe. .zembe....
Yani kusafisha kucha niombe hela...usafi wangu mweenyewe???
Anakudanga huyoo....so nenda nae kwa style hiyo km umemkubali kweli kubali kutobokaaaHuku field ndio kuko hivyo mkuu, na wanachagua saluni ya kwenda
Kwa nini wanakuwa hivyoNdio ndio, hawanaga gharama ila ndo wana nata hatari km hawanyi vile😎😎