Wadada na makalio yao

Nyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
Kwahiyo kwa uvaaji huo wa wanaume nao unawatamanisha nyie wanawake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…