Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Mie sio tigo tu hadi halotelmm nitayashika shika, ntayatia vidole, na kuyaigizia dyudyu, c unajua tena mm mdau wa 0713...vipi na ww pia ni mdau wa 0713?? aka tigo?? Evelyn Salt
hahahahaha Mkuu una akili sana inaelekea. Yaan wewe umeamua kutoka nje ya mada kabisa.Ikiwa unamwona mwanamke kajivalia gauni unahamasika kingono kwanini ukiwa darasani ukiona maswali ya mtihani huhamasiki kufaulu?
kwa na ww unavutiwa na milegezo hata kufikia hamu ya kututamani kufanya na sisi ngono?Nyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
Unataka picha?Nimekuja Fasta nikajua kuna Picha mkuu!
Kwani na nyie mnategekea tukivaa hivo!?Nyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
Picha ni muhimu ili tuthibitishe bila shaka yoyote!Unataka picha?
Hivi wewe ndio ScholasticaNyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
Hapana mimi ni Evelyn SaltHivi wewe ndio Scholastica
Unapenda kuangalia tu aiseeYaan nyie mnaushambulia huu uzi mtakuwa vinara wa hizo mambo