Macho hayana mipaka/paziakwani lazima uangalie
Seeing is believing !!kwani lazima uangalie
hila, mgongo ndio habari ya mujiniHabari za muda huu wadau wa jf?
Jamani siku hizi kama siwaelewi wanawake hasa wadada, maana wamekuwa wahamasishaji wakuu wa mihemko ya wanaume kingono. Utamwona anatembea barabarani amekuvalia nguo chupi unaiona imejichora. Akiwa anatembea hilo wowowo linavyohamasisha hapo shasha! Jaman nyie wanawake, ama ndo kusema mpo mnapromot biznez, siyo poa maana sisi wanaume tunapata shida kujzuia adi inatubidi tuwatongoze tu maana hakuna namna.
Jitunzeni, mjiheshim mtaacha kutumika kama chombo cha starehe na badala yake mtaheshimika na kuolewa na watu na heshima zao. Mnasababisha wenyewe wanaume kuwatongoza na zaid mmekuwa mkiishia kutumia.
NB: hii ni kwa wanawake wasiojitambua ambao hawaheshim maumbile ya miili yao, karibuni kwa michango ila staki matusi kwani ni tunaelimishana na kuwekana sawa.
Boxer haiwezi kuhamasisha ngono ila maziwa ya mwanamke nusu yapo nje matako yamechora chupi, ni shida etiNyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
Kwa kweli hilo jambo limekuwa tatizo nadhani wengine hawavai hata chupi mitikisiko imezidi unamkuta kavaa nguo material yake laini aah mtatumaliza akina mama nyieHabari za muda huu wadau wa jf?
Jamani siku hizi kama siwaelewi wanawake hasa wadada, maana wamekuwa wahamasishaji wakuu wa mihemko ya wanaume kingono. Utamwona anatembea barabarani amekuvalia nguo chupi unaiona imejichora. Akiwa anatembea hilo wowowo linavyohamasisha hapo shasha! Jaman nyie wanawake, ama ndo kusema mpo mnapromot biznez, siyo poa maana sisi wanaume tunapata shida kujzuia adi inatubidi tuwatongoze tu maana hakuna namna.
Jitunzeni, mjiheshim mtaacha kutumika kama chombo cha starehe na badala yake mtaheshimika na kuolewa na watu na heshima zao. Mnasababisha wenyewe wanaume kuwatongoza na zaid mmekuwa mkiishia kutumia.
NB: hii ni kwa wanawake wasiojitambua ambao hawaheshim maumbile ya miili yao, karibuni kwa michango ila staki matusi kwani ni tunaelimishana na kuwekana sawa.
Nilijua tuNyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nmekumbuka mbali sana tmk, nakumbuka nilinunua tmk mbili nilizihifadhi mpaka siku naenda kugegeda ndio niliivaaNyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
Sio matakwa yake amina ila tambua macho hayana pazia na yalivyo macho na vitu vile nikama opposite side za sumaku zinapokutanakwani lazima uangalie
Hahahahaha TMK[emoji3] [emoji3] [emoji3] nmekumbuka mbali sana tmk, nakumbuka nilinunua tmk mbili nilizihifadhi mpaka siku naenda kugegeda ndio niliivaa
Upo darasa la ngapi mkuu?[emoji3] [emoji3] [emoji3] nmekumbuka mbali sana tmk, nakumbuka nilinunua tmk mbili nilizihifadhi mpaka siku naenda kugegeda ndio niliivaa
Hilo nalo nenoNyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......