WADADA MUPUNGUZE UJUAJI...

Kwanini usimwambie mhusika moja kwa moja kuliko kujumuisha wasiohusika?, umemkera kakutusi unakuja kulalamika huku?,
 
Kama alikutamkia "wewe ni mbumbumbu , haujui kitu" basi amefanya makusudi umuache
 
Kwanini usimwambie mhusika moja kwa moja kuliko kujumuisha wasiohusika?, umemkera kakutusi unakuja kulalamika huku?,
Kushare inaeza ikawa funzo kwa wengine au ushauri kwangu sio kwa nia nyingine ndo maana sijataja mtu wala sababu... Ahsante kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada pole, chukua wanawake wa level yako la sivyo hutaacha kudhalilika. Ukichukua mwanamke aliyekuzidi elimu au kipato awe ni yule aliyejaaliwa hekima ndio atakupa heshima yako kama mwanamke kitu ambacho wengi wetu hatujajaaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…