Wadada mtatuacha na boxer tu

Labda akupende mwenyewe otherwise lazima utoe kwanza bila ya hivyo utaishia kuwapata Mwajuma nchokonoe tu wa kumpa buku mbili ya nazi na matembere.
 
Kula urefu wa kamba yako, mwanamke wa elfu kumi Umekuja kuanzisha thread.... Akiomba laki si utaenda kushitaki mahakama ya kimataifa ???

Tafuta size yako,,, chukua wa buku mbili basi hao wengine waachie wasiopenda kulalamika
 
Elfu kumi mmhh na masihara wew
 
Kuna K kibao mbona Tena free tu...mnaohonga mnakwama wapi hv....mm natoa nauli ya kurud tu
 
Tafuta size yako.... Kuna watu wanatoa hamsini ya vocha kabla hajaomba namba hapo, akishaomba mikogo mingine inaendelea na hukuti wanalialia
Elfu kumi mmhh na masihara wew
 
Tafuta size yako.... Kuna watu wanatoa hamsini ya vocha kabla hajaomba namba hapo, akishaomba mikogo mingine inaendelea na hukuti wanalialia
Na wengi wao ndo hao wanauana
 
USIZINI na usimpe hela zako maana we si baba yake ama mama yake
 
Mkuu kwa kuanza kutoa pesa hizo buku tano, hakika wewe ni mnyonge hapo unajifariji lakini ukweli ndo huo
 
Kula urefu wa kamba yako, mwanamke wa elfu kumi Umekuja kuanzisha thread.... Akiomba laki si utaenda kushitaki mahakama ya kimataifa ???

Tafuta size yako,,, chukua wa buku mbili basi hao wengine waachie wasiopenda kulalamika
Wewe wa shilingi ngapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…