Bila kujibiwa, bila kukubaliwa ombi lako umempa 5000 tayari. Amini wewe mnyonge tayari Kwa Hilo mkuu
Akubali haraka harakaWewe bado kinda kwenye game.... ukiwapa watano kama hao hukosi mmoja.
Ila muda mwingine wanawake wanatufanya tunakuwa malaya. Unamtongoza mtu unakuta hakupi jibu la kueleweka.
Unasema aah huyu anasumbua acha nimtafute mwingine. Naye hivyo hivyo.
Unatafuta mwingine. Wa tatu akikukubalia wale wengine wanakuja kukubali...karoho kanasema acha niwaonje kisha niwaache nibaki na mmoja. Mwisho unanogewa.
Ushauri wangu.
Ukitongozwa kubali ila kama unakataa kataa ieleweke sio kuzungushana kama wapiga kampeni wa chama tawala.
Tulia ww acha Vijana tule maishaAIDS is real vijana! Hata siku moja Kei hatairidhika na Dyudyu na vice versa is true!
Akikupiga mzinga na Wewe mtupie nyuki waangaike naeHahahaaaa mtoa mada we acha tu, mtaani wanaume tuko hoi, kisa vizinga vya wadada
Hupati kitu hapoWewe afadhali mzee baba mm juzi tu apo kuna manzi imekula kuku nusu, chips na fanta orange moja. Namsikilizia tu hapa.
Bila kujibiwa, bila kukubaliwa ombi lako umempa 5000 tayari. Amini wewe mnyonge tayari Kwa Hilo mkuu
Wewe bado kinda kwenye game.... ukiwapa watano kama hao hukosi mmoja.
Ila muda mwingine wanawake wanatufanya tunakuwa malaya. Unamtongoza mtu unakuta hakupi jibu la kueleweka.
Unasema aah huyu anasumbua acha nimtafute mwingine. Naye hivyo hivyo.
Unatafuta mwingine. Wa tatu akikukubalia wale wengine wanakuja kukubali...karoho kanasema acha niwaonje kisha niwaache nibaki na mmoja. Mwisho unanogewa.
Ushauri wangu.
Ukitongozwa kubali ila kama unakataa kataa ieleweke sio kuzungushana kama wapiga kampeni wa chama tawala.
Madogo huwa wanaambiana malaria ni hatari kuliko AIDSAIDS is real vijana! Hata siku moja Kei hatairidhika na Dyudyu na vice versa is true!