Wadada mnapoitwa magetoni mjiongeze

Ukiparamia vitoto vya chuo ujiandae na tabia za kiajabu ajabu. Ujiandae kuja akakuambia anaumwa na kichwa, yupo kwenye siku, kesho ana mtihani chuo. Full case utasema ameifungulia kesi serikali
 
Wamekaa..

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Naona unatoa malalamiko yako inaonesha unaowaita km hako ka aggy hakanyoi vuzi 🤣🤣🤣 tatizo mnadate na vianafunz havijui kuoga wala kunyoa chaka


Sent using IPhone X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…