km hana mihangaiko basi sio kosa lake mjibu kistaarabu tu kuwa huna hela unaenda kutafutaHabari wana jamvi. Niende direct kwenye mada, ivi ni kwanini ukiwa na manzi ndani alafu mmelala wote ile umeamka asubuhi na umetimiza wajibu wako wa kupiga morning glory sasa wakati unataka utoke kitandani ujiandae kwa ajili ya kazini utaskia hubby usiende leo!! Kkhaa!!
Mimi apo ndo nachoka. Nisiende hizo hela za matumizi ntazipata wapi.?
Na hapo ukikosa hela mtu ananuna sasa mueleweke vipi?
Na je mkisemaga ivo mnamaanisha kweli mtu asiende au??
Ngoja wenye kazi waje wajibu..
Mimi nisiye na kazi huwa wanaaga wenyewe" Hubby bye tutaonana baada ya wiki, hapa nilipo kila kiungo kinauma.."
Ngoja nikusindikizeNapita
Haaaaaa haaaaaa haaaaaa. Nimecheka sana japo kwa huzuni maana umesema ni wengi kwa kiasi fulani mfuko wa ARVs unaweza ukakuhusu muda siyo mrefu sana.
Hiyo hainitishi, Ukimwi siku hizi kama mafua tuu!!