Hivi nikwamba bila kutoa ze nidful wakati mmekorofishana na mwenzi wako bifu haliishi nikwanini??Iwe kwa mume/mkee nini kipo katika hizi tool??Maana mwanmme akikasirika akipewa tool magoti yanaregea!Mke akiwa kanuna akipewa Bunduki utasika i love you honney ila usirudie tena wakati wamekuja washauri wapi pengine hata babake!!Msimamo niuleule lakini mungu wangu kikipita katikati ya mapaja maneno yanakuwa yameisha!:A S tongue:

Jamani sio wote uwiiii mi ctaki maana kuna wengine tulikuwa tunadhani hiyo ndo njia pekee ya kubembeleza na kuombea msamaha pale tunapokosa loh mbona ilikula kwetu..maana jamaa anakula na akimaliza anakupa mgongo "mnuno2 unaendelea kwa wiki nyingine tena loh
hahhaahha jamani...................hahhaaaa.. umenikumbusha issue ya bro wangu mmoja.. dakika za mwisho demu wake kafuma kadi za mialiko ya harusi homu..demu acha alie..jamaa kam bembeleza na bunduki mwishowe demu anauliza "itakuwaje sasa"
Of cause kama tabia inajirudia rudi hapo hata ukito nanihii inatachukua muda kusahau ............:smile:Jamani sio wote uwiiii mi ctaki maana kuna wengine tulikuwa tunadhani hiyo ndo njia pekee ya kubembeleza na kuombea msamaha pale tunapokosa loh mbona ilikula kwetu..maana jamaa anakula na akimaliza anakupa mgongo "mnuno2 unaendelea kwa wiki nyingine tena loh