Wadada mnalijua hili??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Hivi nikwamba bila kutoa ze nidful wakati mmekorofishana na mwenzi wako bifu haliishi nikwanini??Iwe kwa mume/mkee nini kipo katika hizi tool??Maana mwanmme akikasirika akipewa tool magoti yanaregea!Mke akiwa kanuna akipewa Bunduki utasika i love you honney ila usirudie tena wakati wamekuja washauri wapi pengine hata babake!!Msimamo niuleule lakini mungu wangu kikipita katikati ya mapaja maneno yanakuwa yameisha!:A S tongue:
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhh...... Mama Kubwa the Big mama anakubaliana na wewe kwani bila hivyo nyuma zisingekuwepo kaka
 
Jamani sio wote uwiiii mi ctaki maana kuna wengine tulikuwa tunadhani hiyo ndo njia pekee ya kubembeleza na kuombea msamaha pale tunapokosa loh mbona ilikula kwetu..maana jamaa anakula na akimaliza anakupa mgongo "mnuno2 unaendelea kwa wiki nyingine tena loh
 
Hivi nikwamba bila kutoa ze nidful wakati mmekorofishana na mwenzi wako bifu haliishi nikwanini??Iwe kwa mume/mkee nini kipo katika hizi tool??Maana mwanmme akikasirika akipewa tool magoti yanaregea!Mke akiwa kanuna akipewa Bunduki utasika i love you honney ila usirudie tena wakati wamekuja washauri wapi pengine hata babake!!Msimamo niuleule lakini mungu wangu kikipita katikati ya mapaja maneno yanakuwa yameisha!:A S tongue:

hahhaaaa.. umenikumbusha issue ya bro wangu mmoja.. dakika za mwisho demu wake kafuma kadi za mialiko ya harusi homu..demu acha alie..jamaa kam bembeleza na bunduki mwishowe demu anauliza "itakuwaje sasa"
 
Jamani sio wote uwiiii mi ctaki maana kuna wengine tulikuwa tunadhani hiyo ndo njia pekee ya kubembeleza na kuombea msamaha pale tunapokosa loh mbona ilikula kwetu..maana jamaa anakula na akimaliza anakupa mgongo "mnuno2 unaendelea kwa wiki nyingine tena loh

he he he MJ1 nicheke kimaisha plus mie natafuta comment hapa ukizingatia kichwa imevutugika kabisa
 
hahhaaaa.. umenikumbusha issue ya bro wangu mmoja.. dakika za mwisho demu wake kafuma kadi za mialiko ya harusi homu..demu acha alie..jamaa kam bembeleza na bunduki mwishowe demu anauliza "itakuwaje sasa"
hahhaahha jamani...................
 
Pole mpenzi we acha tu............. haya mambo hayanaga fomula kusema utafuata stage one, then two........ maana wawezakigawa kibakila kutwa mata tatu ka dose ya panadol au piriton kila mara usikiapo mafua na bado ukaishia kumwagwa ah.......... bado najiona nina likizo ndefu tu bado.
 
nakumbuka kwetu kijijini, ukigombana na mmeo ukienda kwenu, anakuvizia kwenye migomba anakuchapa nao, akimaliza tu anaondoka zake na wewe unarudi kwenu kuchukua malboro yako ya nguo unarejea kwa mumeo, hamna kesi tena hapo!!!
 
Jamani sio wote uwiiii mi ctaki maana kuna wengine tulikuwa tunadhani hiyo ndo njia pekee ya kubembeleza na kuombea msamaha pale tunapokosa loh mbona ilikula kwetu..maana jamaa anakula na akimaliza anakupa mgongo "mnuno2 unaendelea kwa wiki nyingine tena loh
Of cause kama tabia inajirudia rudi hapo hata ukito nanihii inatachukua muda kusahau ............:smile:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom