Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)


😂😂😂😂 waambie hao....hawawez kuoa kbs hawa
 
Hahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa ... njooni Mzigua90 Shunie Raynavero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah inabidi ifunguliwe mahakama ya wezi wa mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mademu wa kibongo wana njaa sana wanapenda mizinga isiyo na kichwa wala miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kutana na kiumbe wa namna hii...kama wapo basi ni asilimia 5 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…