Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Kwani wewe uliolala nao wote wamekugharamia.....? Acheni kuwaonea wanaume wasiojielewa ambao mnawafanya wapange nyumba na kununua Vitz tu...
 

Ukitaka kuona dunia chungu uwe na videmu vingi alafu vipiga mizinga unaweza kutamani kufa,invoice sio invoice,yaani haya mambo yanakera sana,hujakaa sawa huyu anataka pesa ya saluni,mara huyu kuna gauni zuri kapita posta kaliona dukani sijui toleo jipya,mara huyu kiatu kipya kimeingia,mara huyu simu imedondoka kwenye maji wakati anafua hivyo ununue mpya,mara huyu kaibiwa simu na vibaka

Hujakaa sawa huyu anasema anaenda sendof ya rafiki yake,mara mchango wa harusi sijui nani yake anaolewa,yaani tabu tupu. Hata kama ni Atm zingechoka demands za hawa mabinti wa leo.
 

Aisee wewe kiboko,huyo alikua changu umenunua au alikua demu wako wa siku zote?
Nimecheka sana. Laki tatu mbuye iringa alikua juu sana, hata ukichukua malaya las vegas casino hulipii hiyo hela yeye yuko huko porini atake kilo tatu hivi hivi,yaani dola 150 kwa rate ya sasa wakati Las vegas unapata dola 80.
 
Wadada Punguzeni mtatufanya sasa tutafute hela kwa nguvu iliyopitiliza jameniiii
 

wote wanini hao jamani khaaaa!
 
Wasichana kwa njaaa mimi nawapa Saluti ya Hitler.
Mtu kwao maisha mabovu, ila anataka vitu vya gharama eti Huawei hataki tumia anataka samsung. Kwao godoro hawajabadili toka amezaliwa. Kula penyewe shida ila ukikutana nae anataka aende hotel nzuri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…