Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Aisee kweli wadada wamezidi, wengine wanapiga mizinga kabla hata hujamtongoza


Wengine ukimpa offer ya outing ndio ataamua kukomeshq kwa kunywa vinywaji vya gharama balaa!
 
Pia tatizo la kutokubaliana mapema mkiwa mnaanza mapenzi, lazima mjadili hayo yote ikiwemo suala la hela.

THIS.
watu wanaingia kwenye mahusiano hawajui wanataka nini wala wenzao wanataka nini.

huku mwanamke anawaza ndoa. mwanaume hiyo hataki hata kusikia. so mwanamke anabaki kuwaza anataka nini kama sio mwili tu. ndo hapo mizinga inaanza.

ukweli ni kuwa kama mwanamke kakupenda na kaona unataka zaidi ya mwili wake wala hawezi kukupiga mizinga hivyo.

other than that, shes there for pure business.
 

Na huwa mkiianza biashara, hamfanyagi biashara ya hasara
 

Nimekumiss we mwanamke ujue! Bora leo nimekufuma
 
Mbona huku nje wanawake hawana hamu na pesa yako zaidi ya date na mgegedo? 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…