Subiri mapovuWewe wasema mkuu.
Kwa niaba ya wanaume wote wanaonukia vizuri na kuvaa vizuri nawasilisha hili
Leo nikiwa tumesimama na mdada sehem hivi tukiwa tunangoja Huduma za kawaida za kijamii basi akawa ananishangaa sana mpaka naondoka akawa ananiangalia bahat mbaya hadi akajikwaa kwenye kijiwe na kuanguka chini.
Pindi naishia kukata kona nikageuka kuona mtu anainuka na kujifuta akiwa anacheka ila ni pini kiasi chake.
Ombi langu jitahidini muombe namba wengine sisi ni single boy.
Yaani haya yote umeyaona na hukuonesha kama wewe ni mwanaume! !!!
Umezingua sana brother!
Baadae usingizie wanawake?
Kikwetu kwetu hawawezi, labda wanawake wa nje ndiyo wenye huo ujasiri.
Umechezea fursa
Nasapoti hoja[emoji848]Yaani haya yote umeyaona na hukuonesha kama wewe ni mwanaume! !!!
Umezingua sana brother!
Baadae usingizie wanawake?
Kikwetu kwetu hawawezi, labda wanawake wa nje ndiyo wenye huo ujasiri.
Umechezea fursa
Yaah kwa kunukia vizuri ni kwanini asikuelewe na natumia tatu kwa kubadilisha siku majina yake ni Ralph Lauren for men( hii ndo bei kubwa), l'oreal men na nivea for men.Yaan kwa kunukia tu manzi amekuelewa!?? unatumia perfume aina gan Iyo!??