Wadada mkitaka fedha mzifuate 'physically'

Poa mkuu kama unafanikiwa hau ujanja kikubwa usiwafunze wengine maana tutakosa papachu za bure sasa wote mkiwa na huo ujanja
Kweli mkuu Usijali wapo wanaotoa tu
 
Reactions: GUI
Kwani kinachosababisha wewe ukamtumia hiyo hela sio kazi?
 
Teh teh teeeeeh!! Kelele za nini? We tuma kama hautaki kwani unashikiwa bunduki!!
Sasa si haramu kula Bila kufanyia kazi?

Hata maneno yanasema usipofanya kazi usipewe mpesa
 
Dah Ila jamaa umeongea saana paka umemhusisha bwana Dk John Magufuli kisa mpesa????


Tafuta wa kuja physical.....
 
Sasa si haramu kula Bila kufanyia kazi?

Hata maneno yanasema usipofanya kazi usipewe mpesa
Hayo maneno yalikuwa ya wanaume, hata kuomba nako ni kazi kaka shemeji.
 
'Baadhi' ya wanaume wa Dar nyie maombaomba ebu chukueni huu ushauri
 
Lazima apigwe miti ya maana ndo apewe hela......la sivyo akae mbali.................demu wa hivyo hawezi kuwa rewarded bure.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…