M masauke Member Joined Sep 27, 2012 Posts 20 Reaction score 0 Jul 4, 2014 #81 na nyie wakaka mmezidi roho za kikatili, unakuta limwanaume limempreg mdada then linamtosa kirahis tu,,looh, ndo maana na cc tunawakomesha cku hz
na nyie wakaka mmezidi roho za kikatili, unakuta limwanaume limempreg mdada then linamtosa kirahis tu,,looh, ndo maana na cc tunawakomesha cku hz
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,738 Jul 4, 2014 #82 kapalamsenga said: Huna ujasiri huo. Click to expand... siku nikikutongoza ndo utajua kama ninao au sina....
kapalamsenga said: Huna ujasiri huo. Click to expand... siku nikikutongoza ndo utajua kama ninao au sina....
M Mbutuku Member Joined Nov 7, 2011 Posts 31 Reaction score 5 Jul 4, 2014 #83 miss chagga said: kwa sababu hautakuwa free na wao ndio maana wamechukia... mwnamke anajifunza kupenda pole pole yawzekana walikuwa wanakutega urushe ndoano tena uwanase sasa wewe ukarusha kwingine lazima nichukie Click to expand... mmmmmmh
miss chagga said: kwa sababu hautakuwa free na wao ndio maana wamechukia... mwnamke anajifunza kupenda pole pole yawzekana walikuwa wanakutega urushe ndoano tena uwanase sasa wewe ukarusha kwingine lazima nichukie Click to expand... mmmmmmh
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,109 Jul 4, 2014 #84 Mbutuku said: mmmmmmh Click to expand... Shikamoo mbutuku
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,806 Jul 6, 2014 #85 Evelyn Salt said: siku nikikutongoza ndo utajua kama ninao au sina.... Click to expand... Hauwezi fanya hivyo we binti.
Evelyn Salt said: siku nikikutongoza ndo utajua kama ninao au sina.... Click to expand... Hauwezi fanya hivyo we binti.