Wadada kwanini mnakuwa hivi?

Anaweza kukataa mara ya kwanza lakini ule ukaribu wenu unaweza kumfanya akupende taratibu sasa yeye anapoanza kuwa in wewe unakuwa out na kumtaka mtu mwingine aagh! mnuno lazima
 
Wanakuwa wanatupanga tukifika 10 wanaanza kuchambua yupi anajua kutunza, yupi ana mkono wa birika, yupi mwenye upeo , yupi anajua kutafuta, wakati wajiandaa kukuretea mrejesho kuwa wameamua muwe wote wanakuta ushampata mwingine mwenye maamuzi magumu, au anayetaka kuolewa fasta, au anayelipiza kisasi cha kuachwa na bo-f, au anayekimbizana na uzee, au aliyepewa masharti na mganga kuwa atakayekutongoza wa kwanza kubaliana naye ndiye bahati kwako, au aliyechoka kukaa nyumbani na masimango ya mama kwa nini haolewi, au anayekwepa kula kwa kengere home.
 
mwanamke hatongozwi mara moja pengine umpate anayesubiria hata salamu tu.
 


I feel very sory 2 them if dis is ol about!
 
Anaweza kukataa mara ya kwanza lakini ule ukaribu wenu unaweza kumfanya akupende taratibu sasa yeye anapoanza kuwa in wewe unakuwa out na kumtaka mtu mwingine aagh! mnuno lazima



Maskin pole kwao!
 



Umeongea ukweli but too much of anything is harmful pretend kwa mda kidogo wakat mnazoeana! sasa ndio mwez, wa 2, wa 3 wewe umekausha 2 kisa kuzoeana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…