Malengo Jr
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 287
- 99
- Thread starter
-
- #21
kwa sababu hautakuwa free na wao ndio maana wamechukia... mwnamke anajifunza kupenda pole pole yawzekana walikuwa wanakutega urushe ndoano tena uwanase sasa wewe ukarusha kwingine lazima nichukie
Walikuwa free na wewe as a friend ulipokuwa huru,sasa uko kwenye mahusiano mipaka ni muhimu.
Wewe unaweza ukachukulia poa urafiki wenu ila huyo bint uliyenaye asielewe,nani anataka simu za kuulizwa "Unamfahamu Malengo Jr? Kama nani?"
Bora wajiweke mbali mapema mbaki kusalimiana mkikutana kama ajali!!!
Duh! Sasa maringo mengne hayasaidii ukimpenda mtu mwambie ukweli kuliko kumzungusha weee!
Really?
Mnaelekea wapi...
Halafu ulisemaga hunywagi pombe ujue...😛
Namanga!!
Heshima kwenu nyote!
Binafsi nkimuaproach mdada akareject ataendelea kuwa rafiki yangu kama kawaida! Ntaendelea kumpa hi, kutaniana n.k infact life litaendelea kusonga mbele as usual and someone hawez kunotice any difference.
Lakini kinachonishangaza ni kuwa mahusiano yangu na 2 ladies ambao nimewahi kuwaaproach yamebadilika baada ya wao kugundua kuwa am in a relation with another lady!
Najiuliza why?! Je, nawaumiza roho? Je, walitaka niendelee kuwa peke yangu japo wao hawakuwa tayari kuwa na mimi? Je, walikuwa wananitaka ila waliona aibu kunikubali? Je, nawaumiza napowapa hi?
MMU ladies can u plz help me kwanini kumchukia uliyemkataa baada ya kugundua kuwa kuwa amekubaliwa na mwingine?
After they are tottaly downheartedor they fail to maintain it..
Aibu aibu zilimfanya kitimoto akakosa mkia
sa kama walikuwa wanakupenda vunga za nini?
Kamata baby yako kiuno roho ziwatoke....
Many women don't know what they want
where did you get this? as in give me the source of what ur saying..bear in mind mimi ni MWANAUME
i think now that is hoistory
to build our nation with View attachment 168025
SI mingle with women ndomana naulizaKama ni mwanaume umeshindwaje kujua hilo?
O u don't mingle with women?
ama kweli
Usiulize Kaizer hiyo ni safari ya PM.....
Haa apa wamezuga na konyagi sijui nini..