sr bachelor JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,198 Reaction score 800 Jan 22, 2015 #21 I don't get it ivi kwanini mtu akipost tangazo hapa watu wanamwambia akatafute anapoishi..?! Sijajua ni nini shida..!?
I don't get it ivi kwanini mtu akipost tangazo hapa watu wanamwambia akatafute anapoishi..?! Sijajua ni nini shida..!?
M mwafana Member Joined Dec 21, 2011 Posts 10 Reaction score 1 Jan 27, 2015 #22 tatizo watu hawapo serious
J john p gwau Member Joined Jan 21, 2015 Posts 81 Reaction score 25 Feb 5, 2015 #24 Unaweza vaa bango mgongoni la kuhitaji mke pia unaweza kuwapata maana kuna wengine hawana accessya kuingia mtandaon ila ni wazuri na pia maadili ni 100/100
Unaweza vaa bango mgongoni la kuhitaji mke pia unaweza kuwapata maana kuna wengine hawana accessya kuingia mtandaon ila ni wazuri na pia maadili ni 100/100