Mapenzi si pesa,hasa mkiwa na malengo ya kufika mbali katika mahusiano
,hata akiwa under 30 anaweza kukidhi mahitaji ya mwanamke,
Wengine umri mkubwa akili zinakuwa za kitoto
Mwisho wa siku kila mtu
na imani yake,kile anachoamini ndo hukifanyia kazi.