donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hahah vyote tu mkuu. Naona bado uko kwenye ligi ileee, mi mzinguaji tu mkuu ila si kwamba kweli nina nia ya kuteka boma.Unataka tujadili kitu gan hapa tujadili vimin vya wadada au tujadili hiyo gar uliyoazima?
Cc baby mbitiyaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nimekubali mkuuMi hata siwalaumu wao,ila nawalaumu wanaume walio waoa kuwaacha watoke na mavazi ya usiku kwenda ofisini.Mi mke wangu havai ujinga ujinga hata kama tuna mtoko,lazima ajiheshimu kama mke wa mtu.
Tawire mkuuMmh. Ukianza kujadili maisha ya wana Dsm utashindwa kufanya mambo mengine ya maana.
Hayo uliyoyaona yapo na hayajaanza leo. Hivyo chukulia ni jambo la kawaida. Huko maofisini watajijua wenyewe na maboss zao.
Mkuu hapo hapo watakuja na thread kuwa tunawadhalilisha huku wao wanacha mbunye yote njiani kila mtu ana selfika nayo..! Upuuzi mtupuThen ukimtongoza anakwambia mi sio muhuni, nna mume "mume my foot" kama kweli mtu ana mume kwanini ajidhalilishe kwa kuvaa vinguo vifupi? Hii ndio inasababisha mpaka tunakosa kuwajua wepi wanauza na wepi wana waume zao, kazini amani inakosekana, kila siku tunagombana na maboss zetu kisa tu umekaa na mrembo alovaa kimini kumbe boss kamaind na anazuia mzigo, mi sijui kutofautisha mavazi lakini wote wanaovaa vimini naona kama wauzaji tu tena ni sawa na wahudumu wa Mat....ako bar zote zilizopo nchini[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu umenikumbusah mlina. Ila.umeongea point kwa kweliThen ukimtongoza anakwambia mi sio muhuni, nna mume "mume my foot" kama kweli mtu ana mume kwanini ajidhalilishe kwa kuvaa vinguo vifupi? Hii ndio inasababisha mpaka tunakosa kuwajua wepi wanauza na wepi wana waume zao, kazini amani inakosekana, kila siku tunagombana na maboss zetu kisa tu umekaa na mrembo alovaa kimini kumbe boss kamaind na anazuia mzigo, mi sijui kutofautisha mavazi lakini wote wanaovaa vimini naona kama wauzaji tu tena ni sawa na wahudumu wa Mat....ako bar zote zilizopo nchini[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app