Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,441
Aslaam haleykhum wana JF,
Mada tajwa yahusika;
Hivi nyie wadada mnaoombwa namba na sie wanaume halafu mnagoma kutoa mna maana gani? Masuala ya kubania kutoa namba za simu yamepitwa na wakati, halafu unakuta msichana kazeeka unajua kabisa huyu kakosa wa kumwoa sasa unamwomba namba ili muyajenge yeye anakua mbishi kutoa.
Mdada unaweza kukosa mume kizembe zembe hivi hivi kwa tabia yako ya kubania kutoa namba. Acheni hizo wahenga wanasema usikatae wito kataa maneno sasa kinachotakiwa utoe namba then uamsikilize jamaa anataka nini ila kukataa jumla kutoa namba unapoteza bahati.
Jirekebisheni.