Wadada acheni hizi tabia

mkuu nilivyowasoma fasta walikuwa hawajaja kikazi..mana walikuwa wanachapa umbea tu..nikaona soon wataintroduce kipengele cha msosi..nikaona isiwe tabu ngoja nisepe

Ahhh ww ulifanya haraka, walikuwa tayari ao. Tatizo ulikuwa na papara wangu.
 
Mi sipendi hilo neno la kugonga…!Unanigongaa au tunagongana,cz utamu tunackia wote iweje wew useme umenigonga mim…!
 

hahahaha nimechek sn afadhali tusaidie kuwafikishia ujumbe
 
hahahaha nimechek sn afadhali tusaidie kuwafikishia ujumbe

Dogo anataka vitu vizuri bure bure,kama anataka watoto wazuri lazima akubali kuingia garama vinginevyo ataendelea kuwaita shemeji hapa mjini. Wanawake wa viroba au safari ategemee madeni wa viwango vya chini sana. Pia awe anawapeleka baa ambazo wanauza bia bei ya chini au siku za promosheni.
 
Waavhe waagize kisha ingia mitini kabla bili haijaja, ukirudia kwa makundi matatu basi watanyooka wote
 

Acha ujinga kijana usitawaliwe na wanawake kuwa na maamzi kama mwanaume sawa
 
UK Iona hi yo wapigie CMU wenzako ili kila mmoja awe na wake
 

Inategemea mlikutania Wapi na mlikuwa mkifanya nini, huo u boyfriend na u girlfriend ni wa malengo ya mbele au starehe za mda tu????????? huwezi kuwa ulikutana na binti akiwa peke yake tn anakunywa soda/maji then ukamwita akaja na rafikize na kuanza agiza hizo vitu. Ukitaka wakupeleke hivyo umependa na ni katabia kako wacha wakushoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…