mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Mi huwa wananipa mtandao ndio mana hata akitaka carton kumi za savana ni yeye na kichwa chake tu..nikitoka pale naenda kujaza vocha tigo..
Duuuu!!!! Dalili za nyakati za mwisho ndizo hizi.Mkuu Savvana moja elfu tatu au nne,,hatamudu kkunywa savanna ishirini???,,,kazidi Sana labda sita,,,LABDA WEWE MFUKO WAKO UWE HAURUHUSU NDO maana UNASEMA HAYO MKUU,,,
mi huwa napenda wanawake dizaini iyo,,
kwanza mwanamke akinywa pombe Ni rahis mno kumgonga ht cku iyo iyo,,,na pili end of ze day unamgonga Na rafiki yake pia ukiwa mjanja.. ...
kuna wadada wanaboa aisee...kuna mmoja tulipangaga tukutane guest..niko room nimetulia naona huyo anaingia na mabest zake wanne..nilichoka..ikabidi nisepe tu nikawaachia room
kuna wadada wanaboa aisee...kuna mmoja tulipangaga tukutane guest..niko room nimetulia naona huyo anaingia na mabest zake wanne..nilichoka..ikabidi nisepe tu nikawaachia room
mkuu nilivyowasoma fasta walikuwa hawajaja kikazi..mana walikuwa wanachapa umbea tu..nikaona soon wataintroduce kipengele cha msosi..nikaona isiwe tabu ngoja nisepeDahh. Kwi kwi kwi, ebana umenifanya nicheke kwa sauti kubwa mbele ya watu apa. Sasa ww kwa nn umeondoka. Si ungemalizana nao tu.