msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 296
- 375
ππMwisho wa ibada kiliumana, au?!nikaona pembeni kuna pisi moja imetulia nikaona sio mbaya nikienda kukaa karibu nayo angalau tubadilishane hata chaji mbili tatu, nikaifata nikaisalimia kwa jina la bwana nae akaitikia nikamwambia nampenda nae mlokole yule akajibu ananipenda pia kwa jina la yesu,
nikaona leo
πππ Aisee!muda wa mchungaji kuja kuhubiri ulupofika nikashangaa kila alipokua akihubiri akiongelea dhambi ya aina yoyote ile ananiangalia mimi na kidole anakionesha kwangu kimtindo mtindo, nikavumilia ila baada ya muda had watu wakaanza kusanuka wakawa wananiangalia, akisema uzinzi basi ataniangalia mimi, ulevi , uasherati na dhambi zote kwangu........................
juzi jumapili nikasema ngoja niende kanisani kwanza japo nikashiriki na watu katika ibada ya hapa na pale
Hili jina tuuu la utani, not realityHuwenda kwa wapakwa mafuta wa Bwana ulionekana kama MSUKULE kama jina lako lilivyo
Apostle kuna muujiza hukuNasema na mtu mmoja hapa.....
π π πjuzi jumapili nikasema ngoja niende kanisani kwanza japo nikashiriki na watu katika ibada ya hapa na pale
apostle kuna muujiza huku
" Huyu mama Alikua hatembei kwa miaka kumi, baada ya maombi yako kasimama na kutembea Apostle "πππππ€kuna nini!!?