Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 746
- 635
Watumishi wa Mungu,
Sina nia mbaya katika hii maada, ila tu ningependa kujua nukuu aliyoitoa askofu wa kanisa katoliki, ambaye pia ni muwakilishi wa Baraza la Maaskofu katoliki nchini (TEC) kwenye sherehe za kuapishwa kwa rais mppya huko nchini Zanzibar (nasema nchini kwa kuwa zipo sifa zote za kuiita nchi).
Ni katika nukuu ambayo kaitoa bishop wakati akimuombea dua Le President akasema kwamba, "...wadanganyifu hawataitwa tena waheshimiwa..." . Binafsi kwanza nimeipenda sana hiyo nukuu, lakini je, bishop alilenga kumwambiwa ama kumfikishia nani huo ujumbe: Shein ama Maalimu?
Mungu awatie nguvu watumishi lakini pia nafikiri sasa wakati mwingine Mungu anawakumbusheni ninyi na ma-interahamwe mengine mlioshiriki katika kupika matokeo yaliyompa ushindi huyo mnaemwombea dua, binafsi naamini nukuu hiyo imlenge moja kwa moja Shein na Jecha wake kwa udangayifu walioufanya, hakika wadanganyifu hawataitwa waheshimiwa.
Mungu ibariki Z'bar,
Mungu mpe kazi ya kufanya Jecha na comrades wake.