Wachumba mapacha!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Rafiki yangu anatafuta wachumba anasema yeye kigezo chake ni hicho tu wawe mapacha atawaoa wote na ana uwezo wa kuwatunza wala wasiwe na shaka ni hayo tu wadau,kama mpo humu au umesikia popote walipo wawe serious kwa kweli..
 
mapacha unakuwa kama unamkula mtu mmoja ningekuwa mimi ningeoa mmoja mwenye chura halafu mfupi na mwingine kimodo halafu mrefu nakuwa Napata test tofauti tofauti
 
Wale wa liomaliza kidato cha sita wapo chuo sasa mkutanishe nao ila ajipange maana wameungana. ITAPENDEZA AKIWAOA maana hawawezi kutenganishwa
 
Ukoo wako wote hakuna mapacha mkuu, muunganishe nao ujenge nae undugu kabisaa msiishie kwenye urafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…