Mnaturubuni sana toka enzi za mababu zetu Adam.......Kulazimishwa kuko wapi hapo???
Ingekuwa wanawashikia bunduki kweli
Mnaturubuni sana toka enzi za mababu zetu Adam.......
Hahahahaha .......Kwa hiyo wanawake wanawarubuni.....
Kisha "mnafahamiana"
Halafu wanawalazimisha ndoa...
Hahahahah
Aione pia Kaboom
na kujishikisha mimba fasta...hawajambo....Mabinti miaka ya 25-30's huwa wanakuwa desperate sana kuolewa.
wanakwambia umri unaenda;au mara wazazi wananiuliza sana;au wenzangu wote tayari.
Mwishowe anaangukia kwa jitu lolote tu maadamu kaolewa.
How pathetic!!