Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo walikamatwa na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao waliovamia nyumba ya Joseph Mrindoko walikuwa wamevalia kiraia na kujitambulisha kama Askari Polisi kabla ya kuwaweka chini ya ulinzi wahusika hao wawili.
We jamaa aliye kuingiza kwenye mfumo sijui aliwaza nini aiseee,reform kwenye idara hii inaitajika sana,wameingia watu wajinga na wenye giza sana,najua ulishiriki kumwaga damu za wenzetu,naona umechukua mzigo mpya,tupo viti vya juuu siye,ngoja tuone