Kwa nn unataka wawekeze kwenye dini badala ya viwanda?Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam)
Wangewekeza kwenye kuzalisha watoto anakotaka Mheshimiwa Raisi, ila tatizo la mtoto wa kichina hadumu, kama vitu vyao tuWachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam)
Vipi, dini iko kwenye dira ya maendeleo yetu!Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam)