Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
unaona eeh! kumbe mnajua misaada ya wamarekani kufutwa sio tishio.. sasa mbona mnajidai bila hii misaada toka uncle tom tumekwisha huku mnachekelea. wachina hawana masharti ya kudhalilisha mtu ndio maana misaada yao ni ya dhati na inapelekea nchi kujitegemea sio kututia kitanzini.Serikali ya CCM imekuwa ikijivunia sana misaada kutoka serikali ya China na makampuni ya kichina mpaka kufikia kubeza na kudharau misaada kutoka Marekani na nchi za Ulaya hasa baada ya kunyimwa pesa za MCC.
Lakini kwa muda mrefu tumeona makampuni ya kichina na raia wa China wakifanya vitendo vinavyokiuka sheria za Tanzania na kuisababishia hasara kubwa huku mamlaka husika zikisita kuwachukulua hatua. Baadhi vitendo hivyo ni;
1.Ujenzi wa miradi chini ya kiwango hasa barabara
2.Uingizaji wa bidhaa feki zisizo na ubora.
3.Ujangili,biashara ya pembe na meno ya tembo pamoja na utoroshaji wa wanyama hai.
4..Biashara ya nyama ya punda ambao ni wanyama kazi kunakosababisha hatari ya wanyama hao kutoweka.
5.Uendeshaji wa viwanda vidogo visivyozingatia usalama,mazingira na haki za wafanyakazi.
6..Uchimbaji madini usiozingatia ulinzi wa mazingira kama tulivyoona huko Chunya.
7.Usafirishaji wa noti na sarafu za Tanzania kwenda china bila idhini ya benki kuu ya Tanzania.
8.Kufanya biashara ya umachinga na kazi nyingine zinazoweza kufanya na watanzania kinyume na kibali cha kuishi nchini.
9.Unyanyasaji wa raia wa Tanzania ikiwemo kutembeza kichapo.
10. Biashara ya uchangudoa ya wanawake wa kichina kwenye macasino.
Sasa hivi wachina wanachochea ugomvi kati ya watanzania na mataifa mengine wafadhili ili wabaki wenyewe na hapo ndipo wataamua kufanya lolote wanalotaka kwa sababu hatutakuwa na rafiki mwingine wa kumkimbilia.
Natoa rai kwa serikali ya CCM na mashabiki wao wafuata mkumbo waache kubeza misaada kutoka nchi nyingine kwa kuwategemea wachina hao kwa vitendo vyao wataiangamiza nchi hii.
Urafiki wa kweli wa China na Tanzania ulikuwa wakati wa Nyerere na Mao, Tanzania ilipo ipigania kwa nguvu China kurudishwa UN na ika sababisha Tanzania kusitishiwa misaada muhimu na nchi za magharibi na hapo China ikaziba pengo na kuleta kila bidhaa iliyo hitajika tena zenye ubora hasa, wanao kumbuka baskeli za Phoenix,sabuni na dawa za meno za maxam,viatu mpaka peni na penseli za great wall, na pia ujenzi wa viwanda kama Urafiki,Ufi n.k, na mpaka ujenzi wa reli ya Tazara hawa,Wachina wa sasa sio kabisa hawa ni majanga Rais wao alipo kuja tunaambiwa ndege iliondoka na shehena sasa si watafutaji tu hawa.Serikali ya CCM imekuwa ikijivunia sana misaada kutoka serikali ya China na makampuni ya kichina mpaka kufikia kubeza na kudharau misaada kutoka Marekani na nchi za Ulaya hasa baada ya kunyimwa pesa za MCC.
Lakini kwa muda mrefu tumeona makampuni ya kichina na raia wa China wakifanya vitendo vinavyokiuka sheria za Tanzania na kuisababishia hasara kubwa huku mamlaka husika zikisita kuwachukulua hatua. Baadhi vitendo hivyo ni;
1.Ujenzi wa miradi chini ya kiwango hasa barabara
2.Uingizaji wa bidhaa feki zisizo na ubora.
3.Ujangili,biashara ya pembe na meno ya tembo pamoja na utoroshaji wa wanyama hai.
4..Biashara ya nyama ya punda ambao ni wanyama kazi kunakosababisha hatari ya wanyama hao kutoweka.
5.Uendeshaji wa viwanda vidogo visivyozingatia usalama,mazingira na haki za wafanyakazi.
6..Uchimbaji madini usiozingatia ulinzi wa mazingira kama tulivyoona huko Chunya.
7.Usafirishaji wa noti na sarafu za Tanzania kwenda china bila idhini ya benki kuu ya Tanzania.
8.Kufanya biashara ya umachinga na kazi nyingine zinazoweza kufanya na watanzania kinyume na kibali cha kuishi nchini.
9.Unyanyasaji wa raia wa Tanzania ikiwemo kutembeza kichapo.
10. Biashara ya uchangudoa ya wanawake wa kichina kwenye macasino.
Sasa hivi wachina wanachochea ugomvi kati ya watanzania na mataifa mengine wafadhili ili wabaki wenyewe na hapo ndipo wataamua kufanya lolote wanalotaka kwa sababu hatutakuwa na rafiki mwingine wa kumkimbilia.
Natoa rai kwa serikali ya CCM na mashabiki wao wafuata mkumbo waache kubeza misaada kutoka nchi nyingine kwa kuwategemea wachina hao kwa vitendo vyao wataiangamiza nchi hii.
Umesahau hii ya air port? Mchina kajenga mgahawa kwenye eneo la no parking.Serikali ya CCM imekuwa ikijivunia sana misaada kutoka serikali ya China na makampuni ya kichina mpaka kufikia kubeza na kudharau misaada kutoka Marekani na nchi za Ulaya hasa baada ya kunyimwa pesa za MCC.
Lakini kwa muda mrefu tumeona makampuni ya kichina na raia wa China wakifanya vitendo vinavyokiuka sheria za Tanzania na kuisababishia hasara kubwa huku mamlaka husika zikisita kuwachukulua hatua. Baadhi vitendo hivyo ni;
1.Ujenzi wa miradi chini ya kiwango hasa barabara
2.Uingizaji wa bidhaa feki zisizo na ubora.
3.Ujangili,biashara ya pembe na meno ya tembo pamoja na utoroshaji wa wanyama hai.
4..Biashara ya nyama ya punda ambao ni wanyama kazi kunakosababisha hatari ya wanyama hao kutoweka.
5.Uendeshaji wa viwanda vidogo visivyozingatia usalama,mazingira na haki za wafanyakazi.
6..Uchimbaji madini usiozingatia ulinzi wa mazingira kama tulivyoona huko Chunya.
7.Usafirishaji wa noti na sarafu za Tanzania kwenda china bila idhini ya benki kuu ya Tanzania.
8.Kufanya biashara ya umachinga na kazi nyingine zinazoweza kufanya na watanzania kinyume na kibali cha kuishi nchini.
9.Unyanyasaji wa raia wa Tanzania ikiwemo kutembeza kichapo.
10. Biashara ya uchangudoa ya wanawake wa kichina kwenye macasino.
Sasa hivi wachina wanachochea ugomvi kati ya watanzania na mataifa mengine wafadhili ili wabaki wenyewe na hapo ndipo wataamua kufanya lolote wanalotaka kwa sababu hatutakuwa na rafiki mwingine wa kumkimbilia.
Natoa rai kwa serikali ya CCM na mashabiki wao wafuata mkumbo waache kubeza misaada kutoka nchi nyingine kwa kuwategemea wachina hao kwa vitendo vyao wataiangamiza nchi hii.
Serikali ya CCM imekuwa ikijivunia sana misaada kutoka serikali ya China na makampuni ya kichina mpaka kufikia kubeza na kudharau misaada kutoka Marekani na nchi za Ulaya hasa baada ya kunyimwa pesa za MCC.