Swala sio kwamba ni Mnani ambaye anauza nini wapi, swala hapa nadhani ni utandawazi.
Swala ni udhaifu kwenye idara ya uhamiaji, utandawazi upo dunia nzima wenzetu nchi nyingine wako makini sana. Kuna raia wa nchi nyingi jirani sio wachina tu mtaa wa kongo. Wachina wanaonekana zaidi kwa sababu ya rangi yao. Kuna wamalawi, wazambia, wamakonde kutoka msumbiji na wengine kutoka Kongo, lakini pointi iko pale pale udhaifu wa uhamiaji.
Sera na mentality ni kubabaikia wageni..angaza macho pembeni yako tu utashuhudia.mimi kinachonishangaza Tanzania kuingia Rahisi ila inshu kutoka, mtu anaweza kufuatilia viza hata miaka mitano, lakin daily wageni wanaingia,