Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,360
Tusikubali kuwa wanyonge na sisi tuwe wabaguziDuuh, weusi hubaguliwa kila mahala katika dunia hii
Lakini sisi ndio tunaonekana wahangaUbaguzi upo kwenye kila jamii,
Ubaguzi upo wa aina nyingi tu but at the end ubaguzi ni ubaguzi tu.
Mimi sijaongelea HK na Mainland labda wewe ndio unieleze utofautiUna mix Hong Kong na Mainland.
View attachment 2155200
Ijumaa Kareem,
Moja kwa moja, Kumbe wasambazaji wa filamu za Hollywood hulazimika kubadili posters za movie zenye waigizaji weusi kwa kuwatoa au kuwaficha ili wasionekane kwa wapenzi wa filamu nchini China. Hii ni kwa sababu filamu zenye main characters weusi au characters weusi hufanya vibaya kimauzo China.
Mfano Black Panther movie inayohusu Shujaa wa Kiafrika iliojaa waigizaji weusi ilivuja rekodi mbalimbali kwa mauzo ya 1.344 billion USD (hata mimi nilienda cimema kuiona hii[emoji23]), huko China ilitengeneza 105,062,459 USD lakini mafanikio haya ni baada ya kufanyiwa promotion kubwa China iliohusisha kufichwa kwa sura main character kwenye posters katika matangazo yake mbalimbali.
Kwa kutumia kielelezo hiki nauliza, Je hivi ni kweli wachina ni wabaguzi kiasi hiki?View attachment 2155177View attachment 2155178View attachment 2155179View attachment 2155181View attachment 2155180View attachment 2155182
View attachment 2155187
Mkuu,unaweza niambia sababu za kina Lebron,Kobe,na wanamichezo kadhaa weusi kufanya vizuri sana China..
Sure, shobo nalo tatizo mkuuSasa kama Mafrika anambagua mweusi mwenzake unadhani wengine hawatatubagua?
Hivi unajua Mtanzania atampendelea mzungu kwa asilimia 80% kuliko kukupendelea wewe?
Kwa sababu wanajua! Basketball imetawaliwa na blacks lazima mashabiki wa basketball wawapende blacks. Hata hapa bongo wanaopenda basketball wanapenda sana u black AmericaMkuu,unaweza niambia sababu za kina Lebron,Kobe,na wanamichezo kadhaa weusi kufanya vizuri sana China..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Kweli kwenye ubepari ni pesa tu hata kama inatoka kwenye ngurueKwenye ubepari mweusi anaishi kama kawa,ila sehemu yeyote yenye ukomunist hapendwi,china ukomunist , Russia ukomunist