mAgaziJuTO.
Senior Member
- Feb 22, 2014
- 119
- 37
Heshima kwenu wakuu.
hapa Tunduma wachina wameweka mashine za kamari kila kona ya mji.
Vijana wanabashiri tangu asubuhi hadi usiku.
Je, hili jambo halina athari kwa jamii yetu?
Hizi mashine wanazinunua hapa nchini au wamekuja nazo toka kwao?