WACHINA kwa huu wizi na madudu wansyoyafanya nchini mwetu hata misaada yao haifai

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Yaani mimi wachina siwaamini kabisa,anaweza kukwambia anauza mchicha kumbe wanauza bangi!
 

Na utawasikia viongozi wakisifia uhusiano mzuri wa muda mrefu na Jamhuri ya watu wa China! Ujinga Mtupu!
 
Ni sisi wenyewe kujipanga. Binadam wote wana madudu. Madudu hayo huwez linganisha na madudu ya wazungu duniani
 
"system inawapenda kweli kweli, upenzi na jambazi. hata wale wa fedha pale eapoti wataachiwa tu!./
japo walilokuwa wanataka kukifanya ni zaidi ya UOVU.
 
Back
Top Bottom