Oscar Emmanuel
Member
- Aug 12, 2014
- 7
- 0
Inategemea mita za kisima chako unacho taka kuchimbiwaUchimbaji wa kisima gharama zenu zikoje
Mkuu, jitahidi kufafanua jibu lako pindi unapojibu swali. Tunaohitaji ni wengi, ila ukifafanua hatua na estimated price range inakuwa poa. Mfano labda gharama za survey, uchimbaji per meter, pump installation huku uki- specify na aina za pump na gharama zake. Au mpaka tuje PM?Inategemea mita za kisima chako unacho taka kuchimbiwa
8.5 millions
Kwa maelezo naomba unitafute pmUchimbaji wa kisima gharama zenu zikoje