Mbona hamuweki, wachina wanaweka Kila kitu hadharani , mzungu akitangaza kazi anaweka na salary kabisa Ila wabongo Kila kitu ni Siri. Inaonekana Kuna wengine mnawapiga Kila mtu jinsi alivyikuja. Jifunzeni kampuni zilizoendelea ama mnafanya Kama maduka ya sabuni ngano sukari na mafuta ya kula ya wasukuma waha na wakurya.
Weka Bei ya Kila kitu na weka umbali unavyoathiri Bei Ile mobilization, kujianika unaogopa Sasa unadhani namna Gani ya mtu atakufahamu awe na uhuru