Wachimbaji Visima katika Mikoa yote

Nina mpango nichimbe kisima newala mkoani mtwara ila sasa nikifikiria kuwa je survey ikitoa majibu kuwa ni mita 250 si itakuwa mtihani?
 
Reactions: Lax
Mita Tshs 50000/= pia Ikiwa Kuna Mwamba Bomba Haziwekwi Mpaka Chini
Gharama Zote Mpaka Maji Yanatoka Sasa Mwaka Wa 3 Majira Yote Ilikuwa Millions 5
Ni connect na waliokuchimbia mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…