wachimbajivisimavirefu
Member
- Aug 7, 2018
- 37
- 31
hii gharama ni full installation mkuuSafi sana.
Ungeainisha gharama zote Mkuu.
Naona hapo umeweka gharama ya survey na kuchimba tu kwa mita.
Au inajumuisha na gharama za installation ya pump na mabomba pia?
Hapo sawa Mkuu.hii gharama ni full installation mkuu
Dar mkuu kuna visima vya mita 30-140 ina inategemea na sehemu ulipo l eneo lako lipo wapi mkuu ?Mfano kwa Dar ili maji yapatikane muda wowote zinatakiwa kuchimbwa mita ngapi?
Kwa uzoefu wenu wa kazi maeneo ya Mbezi, Malamba, Segerea, Tabata, Kimara na marneo ya jirani na hayo kwa wastani huwa mnachimba mita ngapi ili kupata maji ya uhakika?Dar mkuu kuna visima vya mita 30-140 ina inategemea na sehemu ulipo l eneo lako lipo wapi mkuu ?
hapo mkuu tunapochaji kwa mita maana yake kuanzia uchimbaji mabomba na pump installationSafi sana.
Ungeainisha gharama zote Mkuu.
Naona hapo umeweka gharama ya survey na kuchimba tu kwa mita.
Au inajumuisha na gharama za installation ya pump na mabomba pia?
huko mkuu mpaka tupime maana serengeti kuna mita 100,80,mpaka 150nipo mara Serengeti,huku mita zinaweza fika ngapi?
kuanzia mita 100-130 mkuuKwa uzoefu wenu wa kazi maeneo ya Mbezi, Malamba, Segerea, Tabata, Kimara na marneo ya jirani na hayo kwa wastani huwa mnachimba mita ngapi ili kupata maji ya uhakika?
mkuu kwahiyo DDCA mita moja wanavyochaji 300,000 na wao madalali ? visima vina gharama mkuu PVC ya inch 5 ukiwa mkoani mpaka ifike site ni 75,000 sasa hamuoni hizo gharama ni za kawaida tatizo ni umasikini tu hizo bei ni kawaida nenda kaulize survey sh ngapi pale ubongo maji si utazimia mkuu au angalia bei za uchimbaji kwenye tovuti zao utakuja nishukuruKwa hizi bei wewe ni dalali.
Mnachimba mashimo ya kawaida ya vyoo pia?mkuu kwahiyo DDCA mita moja wanavyochaji 300,000 na wao madalali ? visima vina gharama mkuu PVC ya inch 5 ukiwa mkoani mpaka ifike site ni 75,000 sasa hamuoni hizo gharama ni za kawaida tatizo ni umasikini tu hizo bei ni kawaida nenda kaulize survey sh ngapi pale ubongo maji si utazimia mkuu au angalia bei za uchimbaji kwenye tovuti zao utakuja nishukuru
Unaweza kutuambia vigezo ulivyotumia kupanga hizo bei? Hivi kuna baadhi.ya mikoa jiografia ya wilaya na wilaya zinatofautiana sana?Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:
ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA
Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000
Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000
Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa 600,000
Tanga-mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000
Morogoro-mita moja tunachimba 80,000,na survey tunafanya kwa 350,000
Pwani-mita moja tunachimba 70,000 na survey tunafanya kwa 250,000
Dares Salaam-mita moja tunachimba 65,000,na survey tunafanya kwa 250,000
Lindi-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000
Mtwara-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000
Iringa-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 400,000
Mbeya-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 600,000
Singida-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 500,000
Tabora-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 600,000
Rukwa-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 700,000
Kigoma-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000
Shinyanga-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 600,000
Kagera-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000
Mwanza-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Mara-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 900,000
Manyara-mita moja tunachimba 130,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Njombe- mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 500,000
Katavi-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 800,000
Simiyu-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Geita -mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Ruvuma- tunachimba kwa 140,000 kwa mita na survey tunafanya kwa 700,000
View attachment 3411010
View attachment 3411011
Mara survey kilo 9🤭Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: