Kibatari Member Joined Feb 4, 2008 Posts 16 Reaction score 3 Mar 4, 2014 #1 Habari wana JF! Nahitaji huduma ya kuchimbiwa kisima kwa mikono maeneo jirani na Mkuranga kwa umwagiliaji mdogo wa bustani. Kwa mtu anayefahamu wajasirimali wanaojihusisha na hili,tafadhali,naomba contacts zao. Natanguliza shukrani.
Habari wana JF! Nahitaji huduma ya kuchimbiwa kisima kwa mikono maeneo jirani na Mkuranga kwa umwagiliaji mdogo wa bustani. Kwa mtu anayefahamu wajasirimali wanaojihusisha na hili,tafadhali,naomba contacts zao. Natanguliza shukrani.