Wachezaji wa Maccabi Haifa ya Israel washambuliwa uwanjani

Status
Not open for further replies.

shortlisted1

JF-Expert Member
Apr 2, 2014
352
127
article-2703409-1FE9F30A00000578-775_634x377.jpg


Wachezaji wa club ya Macabi Haifa ya israel wameshambuliwa uwanjani wakati time hiyo ikicheza na Lille ya Ufaransa nchini Austria.

Vijana kadhaa walivamia uwanja wakiwa wamebeba bendera za Palestine na kuwashambulia wachezaji kadhaa wa Israel. Tukio hilo lilisababisha referee kumaliza mpira dakika ya 86.

article-2703409-1FE9F57100000578-829_634x456.jpg


article-2703409-1FE9F53900000578-590_634x326.jpg


article-2703409-1FE9F4C300000578-67_634x389.jpg



Israeli football team Maccabi Haifa's game against French side Lille had to be stopped after pro-Palestinian protesters stormed the pitch.

Supporters of reportedly Turkish origin ran onto the field in the Austrian stadium where the game was played and headed for the Maccabi players, sparking ugly scenes.

One of the players is seen to trip a fan before punches were thrown. The Maccabi players - some of whom retaliated - managed to leave the field unhurt.

Maccabi Haifa denounced the attack, saying the club 'believes in co-existence, tolerance and is against violence'

A club statement given to the Jerusalem Post added: 'This didn't happen because of sport or football, it happened because we are a team which represents Israel.'

The incident comes amid fears of growing anti-Semitism in Europe at time when Israeli forces are locked in a violent conflict with militant group Hamas in Gaza.

There was rioting in Paris at the weekend when a synagogue and Jewish-owned businesses were attacked during a pro-Palestinian rally.

Meanwhile, murderous slogans dating back to the days of Hitler have been chanted at similar events in Germany.

The Israeli ambassador to Germany, Yakov Hadas-Handelsman, said this week: ‘They pursue the Jews in the streets of Berlin… as if we were in 1938.'

During the football match fight yesterday, banners calling for the liberation of Palestine were displayed by certain sections of the crowd.

Lille said on its Twitter feed that the referee called a halt to the game after a group of youths, waving Palestinian flags and placards, ran onto the pitch with just three minutes of the game left.

After a series of brief scuffles, the protestors were led away by security officers with the French side 2-0 ahead at the time.

Allon Sinai, a sports journalist for the Jerusalem Post, wrote: 'Punches and profanities were exchanged between the handful of youngsters, who waved Palestinian and Turkish flags throughout the match, and the Haifa players, who were mainly stunned by the scenes.

'The security stewards on hand were slow to react, but ultimately the situation calmed down, with several of the protesters being escorted out of the stadium and the Haifa players leaving the pitch unscathed.'

Israel is currently engaged in hostilities with Hamas, a militant group that runs the Gaza Strip.

Last month UEFA announced that Israeli clubs could not host European matches due to the 'unrest' in Israel.

Chanzo: DailyMail

 
Last edited by a moderator:
Unafiki tu wa Kiarabu na Kituruki! Ningewaelewa zaidi kama wangerejea Gaza na kiendeleza mapambano yao huko, sio kufanya fujo ndani ya nchi nyengine.
 
Hao wanaowashambulia wa Israel inaonekana hawaijiu au wamejifanya wamesahau ile ngoma ya "Entebbe 90 Minutes" jinsi watu walivyofanya yao ndani ya dakika sifuri kisha wakaamusha oya oya na kuwaachia vumbi.
 
Mambo ya israel yamekaa kimazungumzu zaidi ushabiki hautosaidia kumaliza tatizo hata kidogo
 
Hao wanaowashambulia wa Israel inaonekana hawaijiu au wamejifanya wamesahau ile ngoma ya "Entebbe 90 Minutes" jinsi watu walivyofanya yao ndani ya dakika sifuri kisha wakaamusha oya oya na kuwaachia vumbi.

Na miaka ile AH nae aliwapunguza 90% bila makeke yoyote...
 
Kuna ushabiki wa kijinga sana kama wanawatetea wapalestina si waende ghaza wakapambane na israel!
 
Hao wanaowashambulia wa Israel inaonekana hawaijiu au wamejifanya wamesahau ile ngoma ya "Entebbe 90 Minutes" jinsi watu walivyofanya yao ndani ya dakika sifuri kisha wakaamusha oya oya na kuwaachia vumbi.

mi huwa sichoki kuirudia hii kitu,idd.amin hajawah kuamin had amerud mavumbini
 
Swala tano matatizo sana ila sio wote wapo ambao hawana mambo ya ajabu
 
Huyo Hitler aliyewaua Wayahudi yu wapi sasa?

Dhambi ile ile unayomuhukumu nayo Israel unaisifia kama Hitler angeliifanya...wanshangaza!!!!

Maana kitu walichokuwa wanafanyiwa wao ndio wanawafanyia wenzao si bora wangemalizwa.tunamkumbuka hitler
 
Unafiki tu wa Kiarabu na Kituruki! Ningewaelewa zaidi kama wangerejea Gaza na kiendeleza mapambano yao huko, sio kufanya fujo ndani ya nchi nyengine.

Wayahudi janga la dunia
Wazungu walijua wakamtuma hitler kuwamaliza ulaya.kosa lake akaingia tamaa akavamia nchi nyengine.
Waliwafukuza wote na usifikiri wao kuwa support ni kwa uzuri ila hawataki hilo jinamizi lirudi kwao ulaya.
Wanawapenda wayahudi kwa hilo tu wasirud ulaya.
 
Soka ni alama ya amani, upendo, na undugu. Hawa pro Palestina hilo hawalijui? Tuliwahi kuona mechi kati ya marekani dhidi ya Irani, Argentina dhidi ya England tena miaka michache baada ya vita Fockland...mambo ya kufanya fujo kwenye michezo yashapitwa na wakati.
 
Na miaka ile AH nae aliwapunguza 90% bila makeke yoyote...

Tena aliwafyeka hadi Wazungu walipo mtoa Hitler, huyu alikuwa sahihi, naamin jamaa alikuwa jembe, alijua hawa majuha watakuja kusumbua tu!
 
Maana kitu walichokuwa wanafanyiwa wao ndio wanawafanyia wenzao si bora wangemalizwa.tunamkumbuka hitler

Sana, angewafyeka tu hawa. Sasa walichomlalamikia Hitler na wao wanakifanya kwa Wapalestina, so ni bora angewafyeka wote!
 
Jamaa hawajui kwamba mossad wana kitengo cha assassination. Hata ujifiche anga gani watakupata. Waliwapata baadhi ya watuhuhumiwa wa Nazi na wale wa Munich sembuse hawa watoto wadogo.
 
Hapo wameshaanza tena ugomvi mwingine, nani awasidie sasa ngoja jamaa waanze kulipa kisasi sasa....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom