Wacheza rafu hodari 10 duniani.




what goes around comes around,we'll always have son of who...not son of what...kumbe dogo kwa vigezo hivyo,then dogo ni sifa???i didnt knew that,ok long live brother wewe ulizaliwa kibabu sasa unaelekea kuwa dogo,what you do today,what you say,it reflects from where you have been raised as a kid,it simply indicates that you are either the last born,or during your childhood other kids conquered you,so you had no one to call dogo,on jf if ur short of ideas even if u have been in here since 2006 means nothing.
 
Wee mtoto wee..... Mwenzio huyu hapa.

 
Last edited by a moderator:
List yoyote ya wacheza rafu lazima jina la VINNIE JONES liwemo.
 
pamoja na kuchanganya list yako wacheza rafu, walalamishi na wabishi, ila kama jina la Rostar Nduguru halimo hiyo siitambui!!!
SP
 
Wee mtoto wee..... Mwenzio huyu hapa.





Short of ideas,comply or complain,ok umeshinda,if we prolong with this a foul ll not b known.
 
Last edited by a moderator:
Hakukuwa na ushindani. Umeona wajuzi wa kutukana? Siku nyingine usirushe matusi ovyo ovyo kwa mtu usiyemfahamu.

Kama neno DOGO lilikukwaza, basi SAMAHANI YANGU kubwa tu kwenda kwako. Piece!!!


Short of ideas,comply or complain,ok umeshinda,if we prolong with this a foul ll not b known.
 
Ha ha ha umenichekesha for sure,kumbe na huku upo ?sasa unajisikiaje wenzio umewaweka vilema na POP zao?


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ha ha ha umenichekesha for sure,kumbe na huku upo ?sasa unajisikiaje wenzio umewaweka vilema na POP zao?


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kaka mkubwa mimi ni mdau mkubwa sana wa michezo haswa kandanda...
Nilipokua libero kweli sikuwa na huruma, mshmbuliaji akijua tu kuwa ni mimi namfuata basi lazima achachawe na kutoa basi haraka mno...
By then kuumiza mshambuliaji ilikuwa sifa ila kwa sasa naona haikuwa fresh...
 
ukizungumzia rafu basi unanipeleka katika soka la mchangani mwananyamala B enzi za kombe la lucky rangers!.....kuna chama la mwananyamala la kuitwa magic power ambalo gulla joshua alikuwa analichezea kabla hajaingia ligi kuu,kuna mwanaume mmoja wa kuitwa SIX MUNDI ana mapengo flani mdomoni ndo alikuwa anakamata dala katika kikosi hiko,huyo bingwa hana fair play!itikadi zake ni bora upite mpira katika himaya yake ila si mchezaji wa timu pinzani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…